Kiumbuygamu

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiumbuygamu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waumbuygamu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiumbuygamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiumbuygamu kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiumbuygamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.