Kivaghri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wavaghri. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kivaghri imehesabiwa kuwa watu 3660. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivaghri kiko katika kundi la Kigujarati.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivaghri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.