Kiwadi-Wadi

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiwadi-Wadi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawadi-Wadi katika majimbo ya New South Wales na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwadi-Wadi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadi-Wadi kiko katika kundi la Kulin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwadi-Wadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.