Kiwagaya kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawagaya katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwagaya, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwagaya kiko katika kundi la Kiwarluwariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwagaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.