Kiwalangama

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiwalangama kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawalangama katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwalangama ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwalangama kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwalangama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.