Kiwandarang kilikuwa lugha ya Kigunwingguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawandarang katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwandarang, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwandarang kiko katika kundi la Kimara.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwandarang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.