Kiwardaman
Kiwardaman ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wawardaman katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwardaman ilihesabiwa kuwa watu 84 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwardaman kiko katika kundi la Kiyangmaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwardaman kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwardaman
- lugha ya Kiwardaman katika Glottolog
- lugha ya Kiwardaman katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwardaman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |