Kiwarlmanpa

lugha ya asili ya Australia

Kiwarlmanpa ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawarlmanpa katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwarlmanpa 47 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarlmanpa kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarlmanpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.