Kiwarlpiri

lugha ya asili ya Australia

Kiwarlpiri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawarlpiri katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwarlpiri ilihesabiwa kuwa watu 2510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarlpiri kiko katika kundi la Kingarga.

Eneo la Kiwarlpiri (buluu)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarlpiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.