Kiwarluwara
Kiwarluwara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarluwara katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwarluwara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarluwara kiko katika kundi la Kiwarluwariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwarluwara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwarluwara Archived 25 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiwarluwara katika Glottolog
- lugha ya Kiwarluwara katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwarluwara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |