Kiwarumungu (au Kiwarramunga) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawarumungu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwarumungu ilihesabiwa kuwa watu 310. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarumungu kiko katika kundi lake lenyewe la Kiwarumungu.

Eneo la Kiwarumungu (kijani)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarumungu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.