Kiwik-Epa
Kiwik-Epa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwik-Epa, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Epa kiko katika kundi la Kipama cha Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwik-Epa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwik-Epa
- lugha ya Kiwik-Epa katika Glottolog
- lugha ya Kiwik-Epa katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwik-Epa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |