Kiwik-Keyangan kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwik-Keyangan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Keyangan kiko katika kundi la Kipama cha Kati.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwik-Keyangan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.