Kiwik-Me'anha
Kiwik-Me'anha ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 1981, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Me'anha ilihesabiwa kuwa watu 12 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Me'anha kiko katika kundi la Kipama cha Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwik-Me'anha kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwik-Me'anha
- lugha ya Kiwik-Me'anha katika Glottolog
- lugha ya Kiwik-Me'anha katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwik-Me'anha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |