Kiwik-Mungkan
Kiwik-Mungkan ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Mungkan ilihesabiwa kuwa watu 1060. Tena kuna watu 500 ambao hutumia Kimungkan kama lugha ya pili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Mungkan kiko katika kundi la Kipama cha Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwik-Mungkan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwik-Mungkan
- lugha ya Kiwik-Mungkan katika Glottolog
- lugha ya Kiwik-Mungkan katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwik-Mungkan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |