Kiworimi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waworimi katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiworimi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiworimi kiko katika kundi lake lenyewe la Kiworimi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiworimi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.