Kiwuliwuli

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiwuliwuli kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawuliwuli katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwuliwuli, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwuliwuli kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwuliwuli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.