Kiwulna (pia Kiwoolna au Kiwoolner) kilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wawulna katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwulna, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwulna kinafanyiza familia ya lugha pamoja na Kilimilngan; tena kinahusiana labda na Kiumbugarla na Kilaragiya.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwulna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.