Kiyabula-Yabula

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiyabula-Yabula kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayabula-Yabula katika majimbo ya New South Wales na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyabula-Yabula, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyabula-Yabula kiko katika kundi la Kiyotayotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyabula-Yabula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.