Kiyagara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayagara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyagara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyagara kiko katika kundi la Kidurubuliki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyagara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.