Kiyarsun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayarsun kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiyarsun imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Inawezekana kuwa lugha imetoweka hadi 2005. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyarsun iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyarsun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.