Kiyaur ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayaur kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kiyaur imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyaur iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyaur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.