Kibuduma

(Elekezwa kutoka Kiyedina)

Kibuduma (pia Kiyedina nchini Nigeria) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia hasa nchini Chad inayozungumzwa na Wabuduma. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibuduma imehesabiwa kuwa watu 51,600. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Nigeria na 200 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuduma iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuduma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.