Kiyeresiam (au Kiiresim) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayeresiam kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyeresiam imehesabiwa kuwa watu 70 tu. Lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyeresiam iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyeresiam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.