Kiyidiny ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayidiny katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiyidiny ilihesabiwa kuwa watu 150 tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyidiny kiko katika kundi lale lenyewe la Kiyidiny.

Eneo la Kiyidiny (mshale wa kijani)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyidiny kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.