Kiyindjilandji kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayindjilandji katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyindjilandji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyindjilandji kiko katika kundi la Kiwarluwariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyindjilandji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.