Kiyiningayi
Kiyiningayi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayiningayi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyiningayi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyiningayi kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiyiningayi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyiningayi
- lugha ya Kiyiningayi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyiningayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |