Kiyir-Yoront (au Kijir'jorond) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayir-Yoront katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyir-Yoront, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyir-Yoront kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyir-Yoront.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyir-Yoront kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.