Kiyirandali

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiyirandali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayirandali katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyirandali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyirandali kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyirandali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.