Kiyugambal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayugambal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyugambal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyugambal kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyugambal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyugambal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.