Kizinza
Kizinza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazinza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kizinza imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizinza iko katika kundi la E20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kizinza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kizinza
- lugha ya Kizinza katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/zin
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kizinza)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Odden, David [Arnold]. 2000. The phrasal tonology of Zinza. Journal of African languages and linguistics, 21 (1), uk.45-75.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizinza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |