Kochi, Kerala

Kochi (kwa Kimalayalam കൊച്ചി Kocci, pia Cochin) ni mji katika jimbo la Kerala kwenye kusini-magharibi ya Uhindi.

Nyumba za kisasa kwenye mwambao wa Kochi.
Kanisa katoliki huko Kochi.

Kochi ina bandari asilia kwenye mwambao wa Bahari ya Kiarabu ikiwa na historia ndefu ya biashara ya kimataifa.

Mnamo mwaka 2021 mji ulikuwa na wakazi 600,000, rundiko la jiji hufikia wakazi milioni 2.1.

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kochi, Kerala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.