'

Koker (mwimbaji)
Mwanamuziki]] Koker]
Amezaliwa30 Mei, 1993
Kazi yakemwimbaji na mtunzi wa nyimbo


Olayiwola Olabanji Kokumo, anajulikana zaidi kama Koker, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za afro-pop kutoka nchini Nigeria. [1] Kwa sasa ana mkataba wa rekodi lebo ya "Chocolate City".

Maisha ya Awali

hariri

Koker alizaliwa mnamo 30 Mei, 1993 katika Jimbo la Lagos, Kokumo ni mtoto wa pili kuzaliwa kwa wazazi wake.

Alipata shahada ya uzamili katika sanaa ya ubunifu kutoka Chuo Kikuu cha Lagos . [2]

Mwanzo wa safari yake ya kuwa nyota ilianza wakati alitoa wimbo uliojulikana kama "Do Something" mnamo 2015. Koker aliangaziwa zaidi baada ya kutoa albamu yake ya The Indestructible Choc Boi Nation chini ya rekodi lebo ya Chocolate City mnamo 2015. [3]

Mnamo mwaka 2016, alitia saini mkataba na Cloud 9, kampuni ya muziki wa mtandaoni iliyoko nchini Nigeria. [4][5]

Marejeo

hariri
  1. "Koker". notjustOk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-25. Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "T.M Interviews Chocolate City 2.0 artist – KOKER". Tush Magazine. 9 Septemba 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-23. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Choc Boi Nation – ‘The Indestructible‘ (Album Art + Tracklist)", Daily Post Nigeria, 27 April 2015. Retrieved on 7 December 2016. Archived from the original on 2016-12-21. 
  4. "Choc City act, Koker joins Olamide, Ice Prince and Seyi Shay as Cloud 9 ambassador", Nigerian Entertainment Today, 8 July 2016. Retrieved on 7 December 2016. Archived from the original on 2017-10-18. 
  5. "Koker (musician)". EverybodyWiki Bios & Wiki (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koker (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.