Konde (maana)
Konde inaweza kumaanisha
- Dayosisi ya Konde ya KKKT katika Unyakyusa
- Konde (Pemba) - kata ya wilaya ya Micheweni - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania na pia jina la jimbo la uchaguzi wa Bunge la Tanzania katika eneo hili
- Konde (Morogoro) ni kata ya wilaya ya Morogoro Vijijini, Tanzania