Konstantino II (316 hivi - 340) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 337 hadi kifo chake.

Alimfuata baba yake Konstantino Mkuu akashindwa na wadogo wake Constantius II na Constans.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konstantino II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.