Korogoto
Korogoto | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 3, spishi 27 za korogoto:
|
Korogoto ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Pycnonotidae. Wanafanana na shore waliomo katika takriban kila bustani, lakini wana rangi ya zaituni juu na nyeupe, kijivu au njano chini. Nyembelele ni ndege wengine katika familia hii. Wanatokea misitu na maeneo mengine yenye miti katika Afrika kusini kwa Sahara. Hula matunda na mbegu hasa lakini wadudu pia. Tago lao hujengwa mtini na jike huyataga mayai 2-5.
Spishi
hariri- Criniger barbatus, Korogoto Ndevu (Western Bearded Greenbul)
- Criniger calurus, Korogoto Mkia-mwekundu (Red-tailed Greenbul)
- Criniger chloronotus, Korogoto Mgongo-kijani (Eastern Bearded Greenbul)
- Criniger ndussumensis, Korogoto Ndevu-nyeupe (White-bearded Greenbul)
- Criniger olivaceus, Korogoto Ndevu-njano (Yellow-bearded Greenbul)
- Phyllastrephus albigula, Korogoto-milima Mdogo (Montane Tiny Greenbul)
- Phyllastrephus albigularis, Korogoto Koo-jeupe White-throated Greenbul)
- Phyllastrephus alfredi, Korogoto wa Sharpe Sharpe's Greenbul)
- Phyllastrephus baumanni, Korogoto wa Baumann (Baumann's Olive Greenbul)
- Phyllastrephus cabanisi, Korogoto wa Cabanis (Cabanis's Greenbul)
- Phyllastrephus cerviniventris, Korogoto Kijivu (Grey-olive Greenbul)
- Phyllastrephus debilis, Korogoto Mdogo (Lowland Tiny Greenbul)
- Phyllastrephus fischeri, Korogoto wa Fischer (Fischer's Greenbul)
- Phyllastrephus flavostriatus, Korogoto Michirizi-njano (Yellow-streaked Bulbul)
- Phyllastrephus fulviventris, Korogoto Tumbo-marungi (Pale-olive Greenbul)
- Phyllastrephus hypochloris, Korogoto wa Toro (Toro Olive Greenbul)
- Phyllastrephus icterinus, Korogoto Tumbo-njano (Icterine Greenbul)
- Phyllastrephus lorenzi, Korogoto wa Sassi (Sassi's Olive Greenbul)
- Phyllastrephus placidus, Korogoto Kijanikijivu (Placid Greenbul)
- Phyllastrephus poensis, Korogoto wa Kameruni (Cameroon Olive Greenbul)
- Phyllastrephus poliocephalus, Korogoto Kichwa-kijivu (Grey-headed Greenbul)
- Phyllastrephus scandens, Korogoto-majani (Leaf-love au Red-tailed Leaflove)
- Phyllastrephus strepitans, Korogoto Mpayupayu (Northern Brownbul)
- Phyllastrephus terrestris, Korogoto Mkubwa (Terrestrial Brownbul)
- Phyllastrephus xavieri, Korogoto Kidari-cheusi (Xavier's Greenbul)
- Thescelocichla leucopleura, Korogoto-miale (Swamp Palm Bulbul)
Picha
hariri-
Korogoto mkia-mweupe
-
Korogoto wa Cabanis
-
Korogoto michirizi-njano
-
Korogoto kijanikijivu
-
Korogoto mpayupayu
-
Korogoto-miale