Kreta ya Embagai
Kreta ya Embagai (pia Empakaai) ni kreta ya volkeno iliyopo kati ya Ziwa Eyasi na Ziwa Natron katika Mkoa wa Arusha, nchini Tanzania.
Mlima una kimo cha mita 2,666 juu ya usawa wa bahari. Katikati ya kreta kuna ziwa.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kreta ya Embagai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |