Kuala Lumpur (Jawi:كوالا لمڤور) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Malaysia. Eneo lake ni km² 243.65 na idadi ya wakazi 1,453,978 (mwaka 2005).

Jiji la Kuala Lumpur
Nchi Malaysia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1 453 978
Tovuti:  www.kualalumpur.gov.my
Kuala Lumpur

Jiografia hariri

Kuala Lumpur iko km 35 kutoka pwani la magharibi la rasi ya Malay mahali panapoungana mito ya Gombak na Klang kwenye 3° 09' 35" N 101° 42' 12" O3° 09' 35" N 101° 42' 12" O.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kuala Lumpur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: