Kucha-bukini
Kucha-bukini domo-refu
Kucha-bukini domo-refu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Bernieridae (Ndege walio na mnasaba na kucha-bukini)
Cibois, David, Gregory & Pasquet, 2010
Ngazi za chini

Jenasi 8, spishi 11:

Kucha-bukini ni ndege wadogo wa familia Bernieridae. Wanafanana na kucha na zamani waliainishwa katika familia kadhaa kama Pycnonotidae, Sylviidae na Timaliidae. Wana rangi ya majani au ya zaituni juu na nyeupe, njano na/au rangi ya machungwa chini. Wanatokea Madagascar tu katika misitu ya mvua au savana kavu. Hula wadudu.

Spishi

hariri