Komamanga
(Elekezwa kutoka Kudhumani)
Komamanga au kudhumani ni tunda jekundu kwa nje na lenye mbegu ndogondogo nyekundu ndani.
Mti wake unaitwa mkomamanga na asili yake ni Mashariki ya kati.
Tunda hili huliwa na binadamu na hata ndege. Wengine hulidharau, lakini lina faida nyingi sana katika miili wetu.
Faida za komamanga
hariri1. Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa.
2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo.
3. Huipa afya mishipa ya moyo.
4. Husaidia kurekebisha presha ikae sawa.
5. Husaidia kupunguza uzito na kukuweka sawa.
6. Huongeza hamu ya kula.
7. Husaidia usagaji wa chakula mwilini.
8. Hutibu ugonjwa wa kupungua kwa damu mwilini.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Komamanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |