Kutus
Kutus ni mji wa Kenya katika kaunti ya Kirinyaga[1].
Umeunganika na mji wa Kerugoya; kwa pamoja ilikuwa na wakazi 34,014 wakati wa sensa ya mwaka 2009[2].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.knbs.or.ke/?wpdmpro=2019-kenya-population-and-housing-census-volume-ii-distribution-of-population-by-administrative-units
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kutus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |