Kwadwo

jina la mwanaume

Kwadwo/Kwadjo/Kojo (Kwadwo nchini Ghana) ni jina la kiume la Kiafrika linalotokana na watu wa Akan, likimaanisha kuzaliwa siku ya Jumatatu.[1] Kama jina la Kakan, ambapo Waakan ni kundi kubwa la kikabila linalojumuisha makabila mbalimbali kama Fante, Asante, Akuapem miongoni mwa mengine, Kwadwo/Kwadjo mara nyingine huandikwa kama "Kojo", Kwadwo au Kwadjo, na pia kutumika kwa nadra kama jina la ukoo (angalia jina la Akan).[2] Watu wanaozaliwa siku fulani wanatarajiwa kuonyesha tabia au sifa na falsafa zinazohusiana na siku hizo.[3] Kwadwo ana jina la utambulisho "Okoto" au "Asera" lenye maana ya amani. Hivyo, wanaume wanaoitwa Kwadwo wanaweza kuwa na utulivu na amani.[4][5]

Marejeo

hariri
  1. https://www.researchgate.net/publication/239815297 ResearchGate. Ilirejeshwa 2021-04-06.
  2. https://yen.com.gh/115080-akan-names-meanings.html Yen.com.gh - Habari za Ghana. Ilirejeshwa 2021-04-06.
  3. Konadu, Kwasi (2012). "Sababu ya Kalenda katika Historia ya Akan". Jarida la Kimataifa la Mafunzo ya Kihistoria ya Kiafrika. 45: 217–246
  4. https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/NewsArchive/Day-born-names-in-Dagbani-Ewe-and-Fante-797733 GhanaWeb. 2019-11-09. Ilirejeshwa 2021-04-06
  5. https://www.modernghana.com/lifestyle/8691/the-akan-day-names-and-their-embedded-ancient-symb.html Ghana ya kisasa. Ilirejeshwa 2021-04-06.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwadwo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.