Kwanzanians ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa kundi zima muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kwanza Unit. Alabmu ilitoka mwaka 2000 chini ya lebo ya Madunia Foundation - Rumba Kali African Hip Hop (RAHH). Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Msafiri na Runtingz. [1]

Kwanzanians
Kwanzanians Cover
Studio album ya Kwanza Unit
Imetolewa 2000
Imerekodiwa 1997-98
Aina Political rap, rap ya kujitambua, hip hop
Lebo RAHH Records
Mtayarishaji Master Jay
Ludigo
P. Funk
Rhymson
Wendo wa albamu za Kwanza Unit
"Tropical Teqniks"
(1996)
Kwanzanians
(2000)
Single za kutoka katika albamu ya Kwanzanians
 1. "Msafiri"
  Imetolewa: 1999
 2. "Runtingz"
  Imetolewa: 1998

Orodha ya nyimbo hariri

 1. Intro
 2. Kwanzanianz
 3. Inahouse
 4. Interlude
 5. Beyond Belief
 6. Interlude
 7. Msafiri
 8. Friction
 9. Interlude
 10. Man To Man
 11. Check Navyoflow
 12. Interlude
 13. Beyond Belief (Remix)
 14. Acha
 15. Interlude
 16. Kamari
 17. Yippy Yapping
 18. Kivingine
 19. Interlude
 20. Nakuja
 21. Runtingz
 22. So Why
 23. Outtro
 24. Beyond Belief (Posse Remix)

Marejeo hariri

 1. Kwanzanians katika Discogs


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwanzanians kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.