Kyerere
Kyerere ni kijiji kilichoko katika kata ya Nyakatuntu.
Kijiji hiki kina vitongoji vinane ambavyo ni:
- Omukasamba
- Chijea
- Kyerere omusitesheni
- Kalebeje
- Chameizi(buzinza) kwaumalufu "Yerusaremu"
- Chitoboka
- Rwagati
- Msumbiji
Kila sehemu kuna umaarufu wake kama:
- Omukasamba: wavuvi wawindaji
- Chijea: wapishi wa pombe
- Kyerere: maduka mengi yanapatikana hapa
- Kalebeje: watu huenda kununua nguo kila Jumamosi na ofisi ya kijiji iko huko
- Chameizi: walima kahawa na ndizi
- Chitoboka: sehemu ya kuchota maji
- Rwagati: wanasemwa kuwa wambea na wagomvi
Kyerere kwa asilimia kubwa kunaishi huko koo tatu ambazo ni ukoo wa Bichechuro ukoo wa Gelumani na ukoo wa Gabriel
Kyerere ina matatizo yafuatayo:
- Usafiri:
- a) barabara zote ni za udongo na hata mvua ikinyesha maji hutwama barabarani
- b) magari machache na si imara
- Umeme: ni eneo ambalo halijafikiwa na umeme wa gridi ya taifa
- Maji: hupatikjana kwa umbali mrefu, karibia kilometa tano
- Zahanati: iko mbali na kijiji
Uzuri wa Kyerere:
- wana vyakula vya kutosha (Ndizi, maharage, mahindi n.k.)
- wanazalisha kahawa kwa wingi
- kijiji kiko karibu na Game reserve Rumanyika
- kijiji kiko katika ikweta yaani kijani kinaonekana mwaka mzima na hata mvua hunyesha kwa wingi
- Kyerere iko karibu na eneo maarufu ambalo ni: Mutata (eneo hili hutoa maji ya moto)
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kyerere kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |