La Mamounia

hoteli

La Mamounia ni hoteli yenye hadhi ya nyota tano huko nchini Moroko. Inatazamana na safu ya milima ya Atlas na ipo katika mji mkongwe wa Marrakech.[1][2][3]

Hoteli hii ilijengwa mnamo mwaka 1929 na Henri Prost pamoja na Antoine Marchisio kwenye eneo lenye hekari 15 za Jumba la kifalme na bustani ambayo Sultan Mohammed ben Abdallah alimpa mwanae Moulay Mamoun katika Karne ya 18.[4]

Hoteli hii ilikuwa sehemu ya kuigizia filamu ya Alfred Hitchcockya mwaka 1956, The Man Who Knew Too Much, ikiwahusisha James Stewart na Doris Day.[5]

Kichanja cha Picha hariri

Marejeo hariri

  1. Karam, Souhail. "Churchill's Moroccan Oasis on Sale in Privatization Push". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 30 October 2018.  Unknown parameter |url-access= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Rai, Sarakshi. "Looking for investors: Morocco Govt trying to sell 51% stake in iconic La Mamounia Hotel". HotelierMiddleEast.com. ITP Digital Media Inc. Iliwekwa mnamo 30 October 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Tulloch, Lee. "Inside Marrakech's La Mamounia, the world's best hotel". Vogue. Iliwekwa mnamo 30 October 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Borghi, Rachele; Camuffo, Monica (2010). Barberi, Paolo, mhariri. Differencity: postcolonalism e construzione della identita urbane, in 'È successo qualcosa alla città. Manuale di antropologia urbana'. Rome: Donzelli editore. ku. 117–150. ISBN 9788860364623. 
  5. https://www.movie-locations.com/movies/m/Man-Who-Knew-Too-Much-1956.php


Viungo vya nje hariri

31°37′15″N 7°59′50″W / 31.62083°N 7.99722°W / 31.62083; -7.99722