Lambo la Bujagali
0°29′56″N 33°08′24″E / 0.49889°N 33.14000°E
Lambo la Bujagali , lililoko karibu Jinja, Uganda, lilikamilika mnamo Novemba 2011. Hapo maji yake yalifunika maporomoko ya Bujagali (au Budhagali), yaliyokuweko huko mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria hivi kwamba wataalamu wengine waliyahesabu kuwa chanzo cha Nile.
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Eastern Uganda Grapples with Power Plant Project
- World Bank Group and Bujagali
- Internationals Rivers' Informative page on Bujugali
- The story of the Bujagali Hydropower Project Archived 4 Februari 2012 at the Wayback Machine.
- Latest Flickr Photo
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lambo la Bujagali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |