Maporomoko ya Bujagali
0°29′56″N 33°08′24″E / 0.49889°N 33.14000°E
Maporomoko ya Bujagali (au Budhagali) yalikuweko karibu Jinja, Uganda, mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria hadi Novemba 2011, yalipofunikwa na Lambo la Bujagali. Wataalamu wengine waliyahesabu kuwa chanzo cha Nile.
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Eastern Uganda Grapples with Power Plant Project
- World Bank Group and Bujagali
- Internationals Rivers' Informative page on Bujugali
- The story of the Bujagali Hydropower Project Archived 4 Februari 2012 at the Wayback Machine.
- Latest Flickr Photo
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maporomoko ya Bujagali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |