Lauren James

Mwanasoka wa uingereza

Lauren Elizabeth James (alizaliwa 29 Septemba 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uingereza anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Chelsea ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza.[2]

James akiwa na Manchester United mwaka 2019

Lauren James alianza maisha yake ya soka akiwa na Arsenal mwaka 2017 kabla ya kujiunga na Manchester United mwaka 2018 na kushinda Ubingwa. Tangu ajiunge na Chelsea mwaka wa 2021, ameshinda mara mbili Kombe la WSL na FA akiwa na klabu hiyo, na alitunukiwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Wanawake wa PFA kwa msimu wa 2022-2023.[3]

Marejeo

hariri
  1. "L. James". Soccerway. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Olow, Fadumo (25 Machi 2021). "Meet Lauren and Reece James: 'How many siblings play elite football? We're living a dream'" – kutoka www.telegraph.co.uk.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Teenage football prodigy wins call up to England youth team", Richmond & Twickenham Times, 20 January 2017. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lauren James kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.