Lazaro wa Milano (alifariki Milano, Italia Kaskazini, 14 Machi 449) alikuwa askofu wa 17 wa mji huo katikati ya karne ya 5[1].

Mt. Lazaro wa Milano.

Inasemekana aliongoza miaka 11 (438-449)[2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Machi[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/45320
  2. Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano (kwa Kiitaliano). Milano: Massimo. ku. 27–28. ISBN 88-7030-891-X. 
  3. Ruggeri, Fausto (1991). I Vescovi di Milano (kwa Kiitaliano). Milano: NED. uk. 15. ISBN 88-7023-154-2. 
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.