Le Rendez-Vous Des Stades


"Le Rendez-Vous Des Stades" ni jina la albamu kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Albamu imetoka mwaka wa 1993. Nyimbo kali zilizotamba kutoka katika albamu ni pamoja na Bili, Sana, Muchata na Yonde.

Le Rendez-Vous Des Stades
Le Rendez-Vous Des Stades Cover
Studio album ya Kanda Bongo Man
Imetolewa 1993
Aina Soukous, muziki wa dansi
Mtayarishaji Kanda Bongo Man

Orodha ya nyimbo hariri

Na. Jina la wimbo Dakika
1. Sana ?
2. Muchata (Zook Love ?
3. Wahito ?
4. Bili ?
5. Nzambe ?
6. Tokei ?
7. Yonde ?

Tazama pia hariri

Viungo vya Nje hariri